kwa nini nywele hutoa cheche pale tunapochana

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone.

hii inasababisha na nini wataalam?
 
Hizo ni chaji za umeme wa mwil.......... Binadamu hai anachaji na ndio kuna baadh ya nguo zilizotengeneza na nyulon za viwandan ukivaa wakat wa kuvua ukivua kwa spid utaona zinatoa mwanga.............Wale wanaougua kifafa kuna wakat mawimb ya umeme wa mwil yanakata na ndio maana huwa wananguka
 
Huo ni ukoko uliokubuhu acha uchafu
 
Hii ni Sayansi ya kibongobongo tokea usukumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…