Kinachonifurahisha kwa mashirika makubwa ya kijasusini kuwa wako radhi wapoteze kitu kikubwa sana kwa muda huo kuliko ku-compromiseintelligence gathering techniques zao kwa watu wengine. Juzi wakati Obamaameconfirm kuwa lazima amchape Syria na kwamba ana ushahidi usio na shaka kuwaAssad ametumia silaha za kemikali kwa watu wake na kuomba Congess wapige kurakuhusu azma yake. Watu wengi katika nchi mbalimbali ikiwemo marekaniwaliandamana na hata wajumbe wa congress nao walidai hawajaona ushahidi wa waziwaliopewa kuwa Syria imetumia hizo silaha. Watu wengi wasichojua ni kuwa katikaintelligence community, ukionyesha intelligence information ni rahisi kwawengine ku-trace back trail nzima ya hiyo intelligence ilivyopatikana. Hencekama kuna watu wako undercover wanaweza kuwa hatarini na kuuwawa. Ndio maanawenzetu wanalinda sana mbinu zao za kijasusi. Wako radhi Raisi apoteze umaarufukuliko ku-compromise mbinu zao. Mifano ipo mingi ila nitaongeza mifano minginemiwili wa Russia na UK.
Russia wakati maghaidi wa Chechniya walivyowatekawazazi na watoto siku ya ufunguzi wa shule kwenye ukumbi wa michezo ya ndani(Gymnasium). Makomandoo wa Russia walipulizia ukumbi mzima hewa ya sumu ambayoiliwalevya mateka na maghaidi kwa ujumla ndio wakaingia ndani na kuanzakuwapiga risasi wale maghaidi huku mateka wakipelekwa hospitali. Wale matekawalipofikishwa Hospitali, madaktari walikuwa hawajui ni sumu gani waliyovutahivyo walikuwa hawajui ni dawa gani (antidote) wawape. Baada ya majadiliano yamuda mrefu, Kremlin walikatataa kutoa information za sumu iliyotumika, hivyomadaktari waliamua kuwapa dawa kwa kukisia, as a result walikufa mateka zaidiya 350. KGB wanajua katika madaktari wa kwenye mahospitali wapo maajenti wamashirika tofauti ya kijasusi ya duniani hivyo ikishajulikana kuwa ile hewa yasumu ni aina Fulani basi ndio itakuwa mwisho kwa wao kutumia tena hiyo trickmaana watu watatengeneza antidote yake. Walikuwa tayari mateka wafe kulikokusema ni sumu gani iliyotumika. Hata ile nyambizi ya kwanza iliyokwamabaharini wakakataa kusaidiwa ikauwa wanajeshi wao ni kuogopa kuibiwatechnologia zao.
Tukio jingine ambalo linaloelezea hii nadharia ni lililililotokea wakati wa mashitaka ya maafisa wa nazi kule Nuremberg (NurembergTrials). Uingereza waliwakamata maafisa kadhaa wa Nazi wakati vita ikiwainaendelea na Hitler ameanza kupigwa na red Army kule Stalingrad, wakawawekakwenye jumba kubwa wakawapa hadi redio wakawa wanasikiliza station za Ujerumanijinsi zinavyotangaza vita inavyoendelea. Walikuwa free wao kwa wao wanaongeakwa uhuru bila kufuatiliwa na mtu yeyote. Walichokuwa hawakijui ni kuwa lilejumba zima hadi vyooni hadi nje kwenye gardeni wame-plant sensitive microphoneambazo zinarekodi hata ukinongona na kuna watu wapo kwenye control roomwanawasikiliza 24/7. Inasemekana ushahidi mwingi wa Nazis atrocities na sitenyingi ambazo Hitler na washirika wake walikuwa wameficha uharamia waozilibainika kwa rekodi hizi. Lakini Winston Churchil alipoambiwa apeleke huoushahidi Nuremberg alikataa na akaamuru ushahidi wote yaani zile rekodizichomwe moto. Alichoogopa ni kuwa akitoa ushahidi huo basi itajulikana njiaalizotumia kuupata huo ushahidi hivyo mbeleni asingeweza kutumia tena hiyotechnique.