Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za kila siku utaiona kwenye shelf.
Ni kwa bahati mbaya au kutokujua kwa viongozi hawa wa askari kuwa hawapaswi kukariri Ilani ya CCM? Je hawafahamu PGO ndiyo itawafanya kuonekana mahiri katika majukumu yao na si Ilani ya CCM? Je hawafahamu kwa kutumia PGO kila wakati watatenda kazi zao kwa mujibu wa sheria na kutoa haki kwa raia?