Kwa nini ofisi zote za ma-RPC na OCD mezani kuna kitabu cha Ilani ya CCM na hakuna PGO?

Ilani imeandikwa kiswahili
PGOimeandikwa kiingereza
Polisi wengi hawajui kusoma na kuelewa kiingereza
 
Ukiona na kusikia neno Policcm hiyo ndio maana yake; watu walishafanya study wakaligundua Hilo![emoji2956][emoji2]
 
Kutumia PGO, professionalism (weledi), matumizi ya akili na busara inahitajika. Lakini kutumia ilani ya CCM huhitaji weledi/busara/akili bali ni kuimba CCM mbele kwa mbele, hata kama hatuoni huko mbele tunaangukia wapi.
 
tatizo likitabu la PGO imeandikwa kiingeleza na sisi wengi ni wa fom foo "C"
 
Polisi wetu wanatekeleza matakwa ya CCM, teka, tesa, piga, nyima chakula, fungia kabatini, badilisha jina, nk. Hawetekelezi PGO kwa sababu haiwapi vyeo au fedha.
 
Polisi wetu wanatekeleza matakwa ya CCM, teka, tesa, piga, nyima chakula, fungia kabatini, badilisha jina, nk. Hawetekelezi PGO kwa sababu haiwapi vyeo au fedha.
Kitendo cha kubadilisha jina la mtu ni hatari sana na kinatisha! Inawezekana wengi wamepotezwa kwa kubadilishiwa majina!
 
jibu hili hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…