Kwa nini pesa ya Tanzania haina thamani?

Kwa nini pesa ya Tanzania haina thamani?

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
459
Unaweza kupata shida kuona athari ya hili mpaka usafiri kidogo.

Ukimwambia mtu kwa mfano unapata Mshahara wa Mtz kwa mwezi wa Tsh milioni moja anashtuka kwa kuwa yeye huo ni mshahara wa mwaka.!

1 Usd=1700 Tsh
1 south African Rand =159
1 Usd = 10 South African Rand
1 Kenyan Shs = South African Rand.

Ukiwa unafanya manunuzi hasa nje ndio unagundua kiasi gani pesa yetu haina thamani.

Kwanini pesa yetu inashuka kila kukicha? kwani wao wanafanyaje kukuza thamani?

kwani sisi central bank yetu inafanya nini?
Wataalam pia naomba mnisaidie.
 
1 Kenya shiling= 20 Tanzania shilings

juzinilikua huko hatari tupu.
 
Ukisoma gazeti la FastJet ndo utalia hata Zambia ambao pesa yao ilishuka kichizi hivi sasa wapo juu. Yaani wameweka bei ya vyakula wanavyouza humo ndani kwa pesa ya nchi wanazofanya kazi yaani Zimbabwe, Zambia, South Africa na TZ. Sasa kwa TZ burger Tshs 7,500/= wakati wengine wanatoa chini ya unit 50 yaani inauma sana. Huyu Governor atoke niingie mimi hapa.
 
Na bilion 306 na yenyewe haina thamani???
 
Itakuwa na thamani vipi tena...wakati ukienda Lushoto katika hotel za kitalii payments zote nikwa foreign currency sembuse huku mjini.....Utashuka zaid na zaid
 
Back
Top Bottom