Ukisoma gazeti la FastJet ndo utalia hata Zambia ambao pesa yao ilishuka kichizi hivi sasa wapo juu. Yaani wameweka bei ya vyakula wanavyouza humo ndani kwa pesa ya nchi wanazofanya kazi yaani Zimbabwe, Zambia, South Africa na TZ. Sasa kwa TZ burger Tshs 7,500/= wakati wengine wanatoa chini ya unit 50 yaani inauma sana. Huyu Governor atoke niingie mimi hapa.