Mpendanchi-2
JF-Expert Member
- Apr 4, 2009
- 304
- 38
Katika pita pita yangu sijaona matangazo wala picha za Mgombea urais wa CHADEMA na Wabunge wa Chadema kwenye Bango lolote!!! Si mijini wala vijijini.
Chadema imekuwaje kwani, maana watu wa mjini at least wanafahamu maana ya mgombea urais Dr. Slaa na CHADEMA , je huko vijijini kwenye watu wengi itakuwaje!! Kama tatizo ni pesa itisheni harambee tuchangie ili picha na majina ya wagombea ubunge yatangazwe kwa nguvu kama CCM anavyofanya.
Si kwamba picha hazipo zipo ila kutokana na wingi wa picha za CCM zinakuwa kama hazipo, hii ni kutokana na CCM kutumia bil.2 kwa picha tu ikisaidiwa na pesa za serikali.
Usibabaishwe na wingi wa mabango!! Bango moja la Chadema lina nguvu kuliko mabango 400 ya ccm.Katika pita pita yangu sijaona matangazo wala picha za Mgombea urais wa CHADEMA na Wabunge wa Chadema kwenye Bango lolote!!! Si mijini wala vijijini.
Chadema imekuwaje kwani, maana watu wa mjini at least wanafahamu maana ya mgombea urais Dr. Slaa na CHADEMA , je huko vijijini kwenye watu wengi itakuwaje!! Kama tatizo ni pesa itisheni harambee tuchangie ili picha na majina ya wagombea ubunge yatangazwe kwa nguvu kama CCM anavyofanya.
si kwamba picha hazipo zipo ila kutokana na wingi wa picha za ccm zinakuwa kama hazipo, hii ni kutokana na ccm kutumia bil.2 kwa picha tu ikisaidiwa na pesa za serikali.
Katika pita pita yangu sijaona matangazo wala picha za Mgombea urais wa CHADEMA na Wabunge wa Chadema kwenye Bango lolote!!! Si mijini wala vijijini.
Chadema imekuwaje kwani, maana watu wa mjini at least wanafahamu maana ya mgombea urais Dr. Slaa na CHADEMA , je huko vijijini kwenye watu wengi itakuwaje!! Kama tatizo ni pesa itisheni harambee tuchangie ili picha na majina ya wagombea ubunge yatangazwe kwa nguvu kama CCM anavyofanya.
Hata bila mabango Kura atapata
katika pita pita yangu sijaona matangazo wala picha za mgombea urais wa chadema na wabunge wa chadema kwenye bango lolote!!! Si mijini wala vijijini.
chadema imekuwaje kwani, maana watu wa mjini at least wanafahamu maana ya mgombea urais dr. Slaa na chadema , je huko vijijini kwenye watu wengi itakuwaje!! Kama tatizo ni pesa itisheni harambee tuchangie ili picha na majina ya wagombea ubunge yatangazwe kwa nguvu kama ccm anavyofanya.