Uko sahihi kabisa lazima iwepo automataic mechanis fulani ya kumanage post.
Mfano computer zinatumia tecnique fulani( LIFO,FIFO etc) kumanage jobs na task mbali mbali Soma
FIFO - Wikipedia, the free encyclopedia upate mwanga kidogo
Kwa hiyo hata software ya JFambayo nadani ni Vbullein ina automatic mechanism amabapo thread yenye activity( Commets, reply etc) itandeleea kuwa kuwa mwanzoni tu hata kama ni ya mwaka juzi. na thred ambayo haina activity itapotea tu hatakamani ya leo.
Lakini admin ana uwezo wa kubadilisha seting na wana power mannualy kama ya kufanya thread igande(sticky)
Hivyo ilivyo sasa iko powa tu.