Lonestar
New Member
- Apr 8, 2021
- 2
- 1
Toka mfuko wa psssf uuangane 2019 hujawahi tangaza ajira lakini kila siku wanakuja wafanyakazi wapya ambao hawajafanya interview sehemu yeyote naomba kufahamu mfumo wa kuajiri upoje au kigeso ni mpaka uwe na ndugu.pia nimeshudia tukio moja la vijana waliokuwa wanajitolea kutoka TAESA wote wameachwa alf mkawapa kazi watu wengine uendeshaji wenu upoje kwenye ajira
Kuna vijana wengi waliokuwa wanajitolea kutoka TAESA lakini ajabu wote wameachwa na kuambiwa muda umeisha wakaajiriwa watu wengine ambao hata hawajajitolea kiukwel psssf serekal iiangalie inaendeshwa kihuni sana kuna watu washakuwa miungu watu