richardphq
New Member
- Feb 4, 2013
- 1
- 0
mfanyakazi yoyote yule asipotimiza majukumu yake yanayompasa ayatimize lazima mtu amuwekee chuki sasa mleta mada ni chuki ipi unayoongelea kwa polisi?Hoja yangu ya msingi nikwa nini raia wanaweka chuki na polisi wakati jukumu kuu la polisi nikulinda na kusimamia amani ya nchi ili ww raia uishi kwa amani
Nini la saba, kuna waliomaliza hata fom foo hawajui kuandika na kusoma? Ila mimi kwa huyu jamaa nimependa hii: "rahia wanaweka chuki na polisi"Ni tanzania tu ambapo utakuta mtoto amefaulu la saba hajui kusoma wala kuandika ,