Kwa nini Raila asifikishwe ICC?

Kwa nini Raila asifikishwe ICC?

ICC inahusika na makosa manne tu ambayo ni: uhalifu dhidi ya ubinadamu,uhalifu wa kivita,Maui ya kimbari na makosa ya uchokozi.Je,Raila katenda lipi hapo?Raila anachofanya kinaruhusiwa na katiba ya Kenya.
 
Kwa hiyo katiba ya Kenya ina ruhusu kiongozi kuchochea wafuasi wake kufanya uhalifu?
tumeshuhudia wafuasi wa Raila wakivamia na kuvunja maduka ya raia na kuiba vitu mbalimbali, tumeshuhudia wafuasi wa Raila wakichoma moto magari ya raia, teshuhudia raia wakipiga watu na hata wengine kuuwawa, Je hiyo ndio demokrasia?
hayo ndio maandamano ya amani?!

J.tatu ya trh 27/3 kaitisha tena maandano ya kufanya vurugu , uharibifu na hata kipelekea kupoteza maisha ya raia, Je huo ndio uhuru, sidhani kama ni sahihi.
 
Back
Top Bottom