Kwa nini Raila Odinga asianzishe nchi yake?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kama anaweza kuzuia Uchaguzi ulioko kisheria ina maana ana nguvu sawa au zaidi ya Serikali, sasa kwa nini wasigawane tu hiyo nchi? I mean this crazy, sijawahi kusikia ujinga kama huu wa Kenya, ...
 
Uzi wa kijinga. Mwambie jaluo hii ni karne nyingine.
 
Kama anaweza kuzuia Uchaguzi ulioko kisheria ina maana ana nguvu sawa au zaidi ya Serikali, sasa kwa nini wasigawane tu hiyo nchi? I mean this crazy, sijawahi kusikia ujinga kama huu wa Kenya, ...

kazuia uchaguzi upi?
 
Hekima ya rais wetu Uhuru Muigai Kenyatta ndo imemfanya aonekane ana nguvu sana, amshukuru mungu Uhuru hakupoteza focus. Sasa hivi ingekuwa ni maneno yalishaharibika zamani.
 
Great Thinker [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama anaweza kuzuia Uchaguzi ulioko kisheria ina maana ana nguvu sawa au zaidi ya Serikali, sasa kwa nini wasigawane tu hiyo nchi? I mean this crazy, sijawahi kusikia ujinga kama huu wa Kenya, ...
Stupidity is building any nation around a single individual ...kama vile unasema ati Odinga aanzishe nchi yake .Any nation is bigger than an individual.
 
Stupid topic, nice dog.

Unaonekana(Barbarosa)ni mtoto wa darasa la nne yaani huendelea zaidi ya hapo! Kama umetoka kwa mfano Karagwe au Kongwa unaweza kusema kwa nini kiongozi au mbunge wa pale asianzishe nchi ya Karagwe au Kongwa?! Raila ana majimbo matatu tu na nusu yaani Kule Nyanza ni Siaya, Homabay na Kisumu na Nairobi ni slams za Kibra!!!!
 
Vugu vugu LA mapinduzi lishaanza kule kisumu!
FB_IMG_1508873131634.jpg
 
Back
Top Bottom