sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Mh Rais Mimi sifi Leo nimepokea salamu ZAKO za pole kwangu kufatia kifo Cha mzee Kibao Mwanajeshi aliyepigana vita vya kagera.
Kada mwenzangu wa Chadema kiongozi wangu kitaifa katika chama
Nimepokea salamu ZAKO za pole kwa masikitiko makubwa sana nimelia nimelaani WALIO muua ingawa wanajulikana
Mh rais Leo asubuh nimepigiwa simu na bibi yangu kada kedekede wa ccm akinipa pole na kulaani mauaji haya ila baada ya kunipa pole aliniuliza swali
Mbona watu wanatekwa na kuauaqa wewe utoi neno? Kwa kweli Mh Rais nimekuteta yakuwa neno uwa unatoa kila TUKIO
Nikamwambia uliwai mtibia Sativa alipotekwa na kutupwa msituni
Akadai yeye hakusikia,nikamweleza uliwai jitokeza hadharani kupitia runingani ukidai wanao tekwa ni DRAMA TU
Bibi ananiuliza Nini maana ya drama nimekosa jibu😀😁😅
Ili la mauaji ya mwanajeshi mstaafu, Tena kada wa chadema Bibi anasema hajakusikia maana nje ya aliyeuawa kuwa kada Bado alikuwa ni raia lakini zaidi alikuwa mwanajeshi wa jeshi la WANANCHI mstaafu.
Mbona ujatoao kauli YOYOTE?
Nikamjibu umeitoa na umetoa Amri ila Amri yenyewe imepoa kama imekura ROJO 😁😀 na hii imeitolea kule kwenye mtandao wetu pendwa wenye jina la ngongo yaani x
Bibi ananiuliza Sasa mtandao wa ngono na Rais wapi na wapi?
Yaani tbc taifa na tbc Redio zimefia wapi? Inakuaje mtandao unaomilikiwa na Mimi na Rais Tena bibi anaiuita wa kiuni utumike kutoa Amri?