Siku moja babu yangu aliniambia usimdanganye mwanamke unayetaka kumuoa.weka ukweli wote mezani alafu aamue mnaoana au la
Bado najiuliza tatizo ni nini tofauti na wazee wetu wao wamefanikiwa kutulia kwenye ndoa zao mpaka katika umri wao huu wa uzee
tatizo wanaume mnafungua sana hizo zipu zenu hamjali kama mmeoa wala nini, na kinachowapa kiburi ni kuamini kuwa kwa kuwa umeoa basi hata ufanyaje mkeo hawezi kukuacha,bt its unfortunately wanawake wa hivyo hawapo tena kwenye jamii yetu, wanawake wa sasa ni dot com zaidi, hawawezi maisha walioshi mama zetu,wewe kama unajiona bado unahitaji kufungua sana hiyo zipu yako usikimbilie kuoa maana na wewe utaingia kwenye hiyo list ya marafiki zako
huu msemo wa mwanamke anajenga au kubomoa nyumba yake mwenyewe kwa kweli siupendi sijui kwa nini.ndoa ni kushirikiana wote wawili,na mwanamume pia anaweza kuijenga au kuibomoa nyumba yake.wangapi huwaacha wake zao,wakaenda kwengine kukawa moto,wakaona bora mke wake wa zamaniin blue napingana na wewe...
in red uko sahihi, watoto wa kike mnafikiri ndoa ni matarumbeta ndio maana huwa mnalazimisha sana hiyo kitu wakati katika hali halisi huwa hamko tayari kukabiliana na changamoto ya maisha ya ndoa!!nyie mda wote macho juu juu tu!
kumbuka mwanamke ndiye anayejenga/kubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe, natumai umenipata Nailyne....