bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
Imekua kama ni ada kwa serikali ya tanzania kukaa kimya hata kwa mambo serious yanayotekea uko duniani hata kama mabo hayo si siri tena kwa level ya uwazi dunia ilipofikia... sijui wanadhan bado ytuko enzi za chama kimoja kwamba habari pekee ni mpaka itangazwe na RTD.
1. watanzania kwa mamia wananyongwa uko china na pakistan na habari zao zinafikishwa kwenye balozi zetu ktk nchi hizo lakini taarifa kwa umma wa watanzania hazifiki achilia mbali kuwataja majina basi hata kutoa hiyo habari lakini majina na habari zao ziko kila mahali kwenye vyombo vya habari vya kimataifa... nadhan hii ni mbaya kwani vijana wengi wanaendelea na kujihusisha na biashara hii labda wangejua kinachoweza wakuta wengejifikir amara mbilimbili.
2. kuna wengine wengi tu wamefungwa kwenye magereza mbalimbali duniani kwa biashara hii.. wengine kesi zao ziko mahakamani lakini serikali ni kimya kama vile si tatizo la nchi.
3. cha kusikitisha ni msiba wa wanajeshi huko darfur kwa utaratibu uleule wa kukaa kimya tu wakaamua wasitangaze majina wakati majina hayo kwenye mitandano ya kijamii na vyombo vya habari vya kimataifa imeshayatoa sijui siri ya nini tenea.
serikali inatakiwa itambue habari sasa ivi ni rahisi sana kupatikana kuliko wanavyodhan ni bora wakajirekebisha badala ya wao kutangaza habari ambayo watu washaisikia muda tu uliopita!!