Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?

mrembo wa kiafrika

New Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
4
Reaction score
3
Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?

Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
 
Sasa unataka mtoto anasoma day alafu apelekwe mbali na nyumbani

kwake. Kata kama ina shule moja ya sekondari maana yake wanafunzi kutoka
shule za msingi zilipo kwenye hiyo kata wataenda hapo hasa kwa maeneo
ya vijijini.
 
Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?

Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
Ili mradi liende tu, hayo mashule yametayalishiwa maskini, common mwananchi
 
Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?

Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
Sikuizi elimu sio swala la msingi kwenye jamii yetu kama kua chawa kwahiyo wanapeleka peleka tu
 
Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?

Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
Waliopata A wanahisiwa kuwa ndio walioenda kusoma na wanapangiwa shule za kusoma ambazo ni nzuri.

Wenye ufaulu unaofuatia wanapelekwa kwenye shule moja isiyo nzuri sana, waendelee kukua pamoja na kuendelea kuangaliwa kama wapo walioenda kusoma kweli.

Ufaulu wa chini, kabisa hao hawapelekwi kokote, wanaingia kuwa beki tatu, boda boda, dereva bajaji, kuuza bar, kuzalishwa, kilimo, ufugaji, ndoa za utotoni, kubeti, gereji, wengine wanakuwa vishandu, pamoja na shughuli nyingine ndani ya nchi hii.
 
Attachments

  • Screenshot_20241221-132352.png
    Screenshot_20241221-132352.png
    213 KB · Views: 5
Back
Top Bottom