mrembo wa kiafrika
New Member
- Apr 18, 2013
- 4
- 3
Sasa unataka mtoto anasoma day alafu apelekwe mbali na nyumbaniKwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?
Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
Ili mradi liende tu, hayo mashule yametayalishiwa maskini, common mwananchiKwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?
Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
Sikuizi elimu sio swala la msingi kwenye jamii yetu kama kua chawa kwahiyo wanapeleka peleka tuKwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?
Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
Waliopata A wanahisiwa kuwa ndio walioenda kusoma na wanapangiwa shule za kusoma ambazo ni nzuri.Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A?
Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka shule zote zilizopo jirani na sekondari hizo?huo upangaji ni kama uhamisho Kwa wanafunzi hao.
Pitia hii shuleLete ushahidi