Wakuu,me naona kama serikali huwa inakipendelea vile chuo kikuu cha dar es salaam,ukiangalia wao wamelia njaa siku mbili tu,wakapewa mkopo wao wakati huo huo vyuo vingine kama mzumbe,sua,muccobs,Dit nk,wao bado wanasota mpaka leo na majibu wanayopewa ni kuwa wawe wavumilivu kwa sababu serikali haina pesa..sasa kama serikali haikua na pesa,iweje hawa wengne wapewe halafu wengine wasipewe,pia hivi sasa tunavoongea udsm wale wanao enda field mwezi ujao wameisha sign pesa zao tayari ila vyuo vingine haijulikani hata hayo majina ya kusign yataenda lini vyuon.ebu tujadili,kwa nin serikali kupitia heslb imeamua kuipendelea udsm pekee na kuvidharau vyuo vingine.what is so special with udsm by the way?