ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Habari wakuu.
Kiukweli inaumiza sana wazee wa Nchi hii waliptumikia Nchi Kwa jasho na Kodi zao hawathaminiwi kabisa..
Sio sawa kwamba inaonekana Kuna ubaguzi mkubwa sana wa kijamii,kwamba Nchi hii inajengwa na Watumishi na Wanasiasa pekee kiasi kwamba Wao ndio wanastahili penseni peke Yao?
Kwamba mkulima na mfanyabiashara hana Haki ya penseni?
Kwamba Serikali imeshindwa walau kuwapa shilingi Laki Moja kuwasitiri Wazee wanaodharirika? Hii sio Haki.
Lazima Serikali ianze Sasa kuwalipa wazee na pia iwatoe kwenye michango Mingi ya Lazima kama Leseni nk..