Charles Makunga
Member
- Oct 4, 2015
- 25
- 10
My main aim is, uwepo uhuru wa mtu kutengeneza website, utafute watu wazawa ama watu wa nje ya tz, wacheze X then upost kwenye website yako watu waangalie then upige hela! i think ni wazo zuri maana utalipa kodi kama kawaida na uchumi utaongezeka, na pia vigezo na mashart kuzingatiwa, mfano kuwapima afya wahusika, kuwepo limits za watazamaji eg 18+, mbona nchi za wenzetu ni issue simpo tu na ni ajira kwa watu wengi tu.