KWA NINI SHULE ZA TANZANIA hazina tovuti, weka tovuti unazojua shule za sekondari za Tanzania

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
Tovuti ni sawa na ubao wa matangazo

Enzi zetu Mbao Za Sakafu, Za sementi ulioandikkwa matangazo kwa choki

inashangaza sana siku hizi etu shule zinakosa tovuti au blog, modem zote hizi kw nini shule ishindwe kuzoesha wazazi kusoma taarifa za shule zao kwa njia ya tovuti, wakati mwingine ni rahisi wizara kujua aina na maendeleo ya shule hata kabla ya kuitembelea, wakaguzi wanaweza ichunguza shule kabla hawajaifuata kuikagua.

wizara ya elimu iwalazimishe walimu wakuu watenge bajeti ndogo ya tovuti

ova,

Hembu weka tovuti ya shule unazojua Tanzania SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
www.agakhanschools.org
http://www.agape.ac.tz/
Thames Valley District School Board
 
Www. edmund rice.com. Au google edmund rise sinoni high school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…