Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Wandugu, nina swali la muhimu sana.
Watanzania wengi sana wanapenda kujadili na kuona kuwa SIASA ndio kila kitu.
Kinyume na hilo waTanzania wengi ni wavivu ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya na Uganda.Ukianzia ngazi za juu , utendaji wa kazi bado ni mdogo aidha kwa utendaji na utatuzi wa matatizo ya kijamii(actual problem solving).
Leo bado kuna majopo, makongamano, warsha na semina za kila aina, muda tosha wa kutatua matatizo ya kijamii. Hivi sasa uwanja wa mambo haya ni Mnazi Mmoja badala ya Bagamoyo.
Je ni KWA NINI watu hupendelea zaidi SIASA kuliko kufanya kazi za kujiingizia kipato?
Kujadili siasa ni hobby ya watanzania wengi na hakuna ubaya kwenye hili. Waingereza wanapenda kujadili vilabu vya mpira.
Wandugu, nina swali la muhimu sana.
Watanzania wengi sana wanapenda kujadili na kuona kuwa SIASA ndio kila kitu.
Kinyume na hilo waTanzania wengi ni wavivu ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya na Uganda.Ukianzia ngazi za juu , utendaji wa kazi bado ni mdogo aidha kwa utendaji na utatuzi wa matatizo ya kijamii(actual problem solving).
Leo bado kuna majopo, makongamano, warsha na semina za kila aina, muda tosha wa kutatua matatizo ya kijamii. Hivi sasa uwanja wa mambo haya ni Mnazi Mmoja badala ya Bagamoyo.
Je ni KWA NINI watu hupendelea zaidi SIASA kuliko kufanya kazi za kujiingizia kipato?
wandugu, nina swali la muhimu sana.
Watanzania wengi sana wanapenda kujadili na kuona kuwa siasa ndio kila kitu.
Kinyume na hilo watanzania wengi ni wavivu ukilinganisha na majirani zetu wa kenya na uganda.ukianzia ngazi za juu , utendaji wa kazi bado ni mdogo aidha kwa utendaji na utatuzi wa matatizo ya kijamii(actual problem solving).
Leo bado kuna majopo, makongamano, warsha na semina za kila aina, muda tosha wa kutatua matatizo ya kijamii. Hivi sasa uwanja wa mambo haya ni mnazi mmoja badala ya bagamoyo.
Je ni kwa nini watu hupendelea zaidi siasa kuliko kufanya kazi za kujiingizia kipato?
Siasa is what pays the most in Bongo. From a mere radio presenter, through sect clergies, footballers, choir singers, doctors (name it) to a professional practising professor, all of them are struggling to be politicians.
Mungu Ibariki Tanzania.
...................
Kinyume na hilo waTanzania wengi ni wavivu ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya na Uganda...........................?
Wandugu, nina swali la muhimu sana.
Watanzania wengi sana wanapenda kujadili na kuona kuwa SIASA ndio kila kitu.
Kinyume na hilo waTanzania wengi ni wavivu ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya na Uganda.Ukianzia ngazi za juu , utendaji wa kazi bado ni mdogo aidha kwa utendaji na utatuzi wa matatizo ya kijamii(actual problem solving).
Leo bado kuna majopo, makongamano, warsha na semina za kila aina, muda tosha wa kutatua matatizo ya kijamii. Hivi sasa uwanja wa mambo haya ni Mnazi Mmoja badala ya Bagamoyo.
Je ni KWA NINI watu hupendelea zaidi SIASA kuliko kufanya kazi za kujiingizia kipato?
Kwani uwongo? Ni ukweli mtupu! Of course labda uvivu huo una sababu ambazo zinaweza kueleweka lakini kwasasa Watanzania wengi ni wavivu sana!LOLE,
Tafadhali KANUSHA sentesi hii waTanzania wengi ni wavivu.
Unatumia takwimu zipi?
Kwani uwongo?...................................
Nakubaliana na Lole, Watanzania walio wengi tu wavivu mno!
Exaudi ndugu yangu,hebu nikupe mchanganuo mdogo wa mfanyakazi wa kawaida ambaye nimem-monitor ukilinganisha na mfanyakazi mwingine niliyem-monitor hapa hapa nchini na kugundua ni kwa nini hatuendelei.LOLE,
Tafadhali KANUSHA sentesi hii waTanzania wengi ni wavivu.
Unatumia takwimu zipi?
Hauoni kwa kuweka bandiko kwenye jukwa la siasa na kujadili siasa wewe ni mmoja wa hao watu unaowasema kwenye thread yako? Umekua interested na wewe umeamua kujadili kwa hiyo labda ukiji tazama mwenyewe utapata jibu. Maybe tunafuata mkumbo, maybe kwa kuwa kila mtu ana interest na siasa kwa hiyo na sisi tunaamua kuingia ili tujionee wenyewe kwa nini kama ulivyo fanya wewe mkuu.