Kukusanya siraha ni kwa sababu ya usalama wetu pia. Maana ujambazi ulishachukua nafasi kubwa na wakina Mahita walichukulia kama ni sehemu ya kujitajirisha kwa gharama za maisha ya watizedi.
Mi naona wacha ziteketezwe. Na kama hiyo ndiyo ilikuwa kusudi lao basi lilikuwa ni kusudi zuri maana sasa twalala usingizi.