Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 May 2, 2022 #1 Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
Simchezo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 460 Reaction score 373 May 2, 2022 #2 Nimegundua uelewa wa Watz wengi ni mdogo sana...
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,816 Reaction score 3,993 May 2, 2022 #3 Ni kwasababu tunafungua nchi
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 May 2, 2022 #4 Inategemea mwandaaji, Pia wasimamizi hawakuwa na muda wa kuwaza kukitangaza kiswahili chetu. Hata ingeitwa TANZANIA YETU lingekuwa jina bora zaidi.
Inategemea mwandaaji, Pia wasimamizi hawakuwa na muda wa kuwaza kukitangaza kiswahili chetu. Hata ingeitwa TANZANIA YETU lingekuwa jina bora zaidi.
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 May 2, 2022 #5 Simchezo said: Nimegundua uelewa wa Watz wengi ni mdogo sana... Click to expand... Ni tatizo kubwa zaidi ya tunavyodhani! Uelewa na ufahamu wa mambo ya dunia huko kwa Watanzania wengi ni mdogo kiasi hadi linakuwa janga! Huwezi kudhani mtu wa siku nyingi humu kama Mamndenyi atakoment utopolo wa kiwango hicho 👆
Simchezo said: Nimegundua uelewa wa Watz wengi ni mdogo sana... Click to expand... Ni tatizo kubwa zaidi ya tunavyodhani! Uelewa na ufahamu wa mambo ya dunia huko kwa Watanzania wengi ni mdogo kiasi hadi linakuwa janga! Huwezi kudhani mtu wa siku nyingi humu kama Mamndenyi atakoment utopolo wa kiwango hicho 👆