Kwa nini Sitoki Jasho Usoni?

Kwa nini Sitoki Jasho Usoni?

Asamwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
3,711
Reaction score
2,462
Mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara hasa jogging.

Kinachonishangaza ni kwamba nikiwa na wenzangu wanatoka jasho sana sehemu zote za mwili pamoja na uso. Mimi naona jasho sehemu nyingi za mwili ilikuwa usoni.

Hii inasababishwa na nini?
 
labda unaumwa.....nenda hospital.......
 
Badilisha cosmetics unazopaka usoni
 
Back
Top Bottom