Kwa nini Sitoki Jasho Usoni?

Kwa nini Sitoki Jasho Usoni?

Asamwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
3,711
Reaction score
2,462
Mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara hasa jogging.

Kinachonishangaza ni kwamba nikiwa na wenzangu wanatoka jasho sana sehemu zote za mwili pamoja na uso. Mimi natoka jasho sehemu nyingine za mwili isipokuwa usoni.

Hii inasababishwa na nini?
 
Dah yani mi ndo natoka jasho hata nikila chakula cha moto kwenye chumba chenye ac. Madaktari fafanueni hapa
 
Back
Top Bottom