A Asamwa JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 3,711 Reaction score 2,462 May 27, 2013 #1 Mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara hasa jogging. Kinachonishangaza ni kwamba nikiwa na wenzangu wanatoka jasho sana sehemu zote za mwili pamoja na uso. Mimi natoka jasho sehemu nyingine za mwili isipokuwa usoni. Hii inasababishwa na nini?
Mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara hasa jogging. Kinachonishangaza ni kwamba nikiwa na wenzangu wanatoka jasho sana sehemu zote za mwili pamoja na uso. Mimi natoka jasho sehemu nyingine za mwili isipokuwa usoni. Hii inasababishwa na nini?
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 May 28, 2013 #2 Dah yani mi ndo natoka jasho hata nikila chakula cha moto kwenye chumba chenye ac. Madaktari fafanueni hapa
Dah yani mi ndo natoka jasho hata nikila chakula cha moto kwenye chumba chenye ac. Madaktari fafanueni hapa