Elections 2010 Kwa nini Sitta bado anatumia ofisi ya Mbunge?

Elections 2010 Kwa nini Sitta bado anatumia ofisi ya Mbunge?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Bunge lilipovunjwa, kwa mujibu wa katiba kwa sasa hakuna wabunge. Sasa inakuwaje Sitta anatumia ofisi hiyo? Huko si kuvunja sheria? Je, pia sio kutumia mali ya umma kufanyia kampeni? (Nipashe 22/09/2010).
 
mwanasheria mkuu si alishasema wabunge wote bado ni wabunge kwani miezi 60 tangu waapishwe bado kumalizika
 
Back
Top Bottom