Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Sep 22, 2010 #1 Bunge lilipovunjwa, kwa mujibu wa katiba kwa sasa hakuna wabunge. Sasa inakuwaje Sitta anatumia ofisi hiyo? Huko si kuvunja sheria? Je, pia sio kutumia mali ya umma kufanyia kampeni? (Nipashe 22/09/2010).
Bunge lilipovunjwa, kwa mujibu wa katiba kwa sasa hakuna wabunge. Sasa inakuwaje Sitta anatumia ofisi hiyo? Huko si kuvunja sheria? Je, pia sio kutumia mali ya umma kufanyia kampeni? (Nipashe 22/09/2010).
W WAMURUBHERE JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 337 Reaction score 25 Sep 22, 2010 #2 mwanasheria mkuu si alishasema wabunge wote bado ni wabunge kwani miezi 60 tangu waapishwe bado kumalizika
mwanasheria mkuu si alishasema wabunge wote bado ni wabunge kwani miezi 60 tangu waapishwe bado kumalizika