Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Tena ni miaka yote trend ni hio hio na pia utamaduni umekuwa kucheza mechi nyingi nyumbaniUmeniwahi..nilikuwa na maswali kama yako..yaani kuna timu za Taifa kwenye hiki kipindi kifupi zimecheza mechi zaidi ya tatu..tena zile ambazo tuko nazo kwenye kundi moja.
Wanasimba utawajua tuHili halijadiliwi sana kwenye platform za media na wadau,kwasababu Taifa stars haina mvuto.
wadau wanajadili kwanini timu ya taifa stars inafichwa wanaacha kujadili kukosekana mechi za kujipima nguvu.
tff wanajua hii timu haitofika mbali kuingia gharama za nini wakati taifa stars ni jamvi la wageni.
hata kufuzu kwake ni kwa mashaka mpaka Uganda wakalalamikia mechi ya mwisho ya kufuzu AFCON taifa stars likua na fixing.