Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Huwa nakwenda Kenya mara kwa mara, kitu kimoja ambacho kimenishangaza sana ni kufanana sana kwa nchi hizi mbili kwenye mambo mengi sana, mfano tu Elimu.
Kenya pia kama ilivyo TZ kwetu matokeo ya mtihani wa Kitaifa hutangazwa, Shule bora hutajwa na mtoto aliyeongoza kitaifa hutajwa na hufwatwa kohojiwa na vyombo vya habari na hata maswali anayoulizwa ni yale yale kama ya TZ, Kenya pia kuna NSSF na inaitwa hivyo hivyo NSSF, Waziri wa Fedha wa Kenya hubeba ki brief case siku ya Bajeti na hukining'iniza mbele ya vyombo ya Habari na TZ hivyo hivyo, hivi ni kwa nini?