The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania.
Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria.
Sasa natumia Twitter Blue tick, nimetumia address ya USA.
Kuna apps kibao na features kibao natumia ila Tanzania hazipatikani hivyo lazima nitumie anuani ya nchi nyingine.
Naomba kuuliza, kwa features nyingi za kisasa hazipatikani Tanzania wakati nchi nyingine zinapatikana.
Inaumuhimu gani hiyo youtube premium mpaka uilipieKwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania.
Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria.
Sasa natumia Twitter Blue tick, nimetumia address ya USA.
Kuna apps kibao na features kibao natumia ila Tanzania hazipatikani hivyo lazima nitumie anuani ya nchi nyingine.
Naomba kuuliza, kwa features nyingi za kisasa hazipatikani Tanzania wakati nchi nyingine zinapatikana.
Uyo uyo. Mawaziri ambao hawajawahi fanya biashara wanaona basi. Kenya ilipiga hatua sana ilipoweka kina Kenyatta ambao ni wafanyabiashara wakubwa kuongoza nchi. Anajua umuhimu wa kila kitu.Waziri wa sekta hiyo ni Nape?