Waige star tv wanajitahidi katika kutuletea soccer, halafu huwa sielewi mitambo kukatika hovyo sijui ni kwa nini???
Wakati wa taarifa ya habari pia unakuta akina Msami na Kingalame wamejiachia yaani hovyoooo...mara wameshika vichwa...mara wengine koti halijakaa vema yaani ILIMRADI tu.
Natamani ITV wangerudia kuonyea UEFA champions league kama miaka ileeeeee......