TBC nitelevisheni yetu ya taifa lakini kuipata kwa kutumia dish siku hizi inasumbua sana kwa haya madish yetu ya kichina yani kupata signal ni ngumu sana tofauti tv zingine za hapa TZ imekuwa kama ubc ya uganda mpaka utumie dish la ft 8 au zaidi ndio unaipata, ivi tatizo nini hasa wana jf ?