Si wewe tu hata mimi sikuelewa jibu alilotoa Kikwete, nakumbuka alijibu muundo wa serikali yake ni kuondokana na utegemezi wa Typewriter na kuanzisha mitandao imsaidie hata anyeomba Viza Sengerema asihangaike kuja Dar, jamani hilo ndilo jibu lake na mimi nisaidieni uwezo wa kufikiri wa huyu mtu.