Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Azam FC wana kiwanja tena cha kisasa na CAF bosi wa TFF wameidhinisha mechi zao kuchezwa hapo. Ajabu TFF hataki Yanga na Simba kucheza hapo kama uwanja wa nyumbani wa Azam kama kanuni zinavotaka kunani?
Nahisi ni masuala ya pesa tu na wanene wamelenga kunufaika hasa kwa kuwa uchaguzi umekaribia. Mfano ni ung'ang'anizi wa mechi ya Azam na Simba jumamosi hii!
Nahisi ni masuala ya pesa tu na wanene wamelenga kunufaika hasa kwa kuwa uchaguzi umekaribia. Mfano ni ung'ang'anizi wa mechi ya Azam na Simba jumamosi hii!