Hilo la uwanja wa Chamazi kusingiziwa kuwa mdogo nalikataa kabisa, ni kipimo gani wamekitumia? Angalia mechi za timu za Yanga na Simba zinapocheza na timu nyingine idadi ya watazamaji uwanjani ni aibu.Capacity ya uwanja ni ndogo chamazi pia hali ya usalama wa RAIA na weachezaji na LA mwisho ni kwamba TFF wanategemea Sana hizi timu mbili simba na yanga ili kuingiza kipato katika viingilio hivyo basi uwanja wa azam hautoingiza mashbiki wa kutosha kutokana na udogo wake.. Ni mtazamo wangu
Hilo la usalama Polisi ndo walipaswa kutamka lakini kwa wao TFF kuingilia kazi hizo ni kulidhalilisha jeshi letu.Pesa mwana haramu, me kwa kweli hili siliafiki kabsa, viongoz wameweka agenda ya Pesa mbele kuliko Mpira. na wanasingizia usalama kitu ambacho hakipo.