Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hii mechi mwenyeji ni Simba, hivyo ni lazima apite kwenye vyombo vya habari kuwajaza watu uwanjani, wa Simba na wa Yanga, ili waipelekee Simba hela za kiingilioHivi Mbona Haji Manara hatulii ? Naona kamaliza vyombo vyote vya Habari Anafanya pre match analysis.
.....
Anachokifanya Manara Kisheria kinaitwa PREJUDICE, Yaani anatengeneza Maamuzi kabla Mchezo ili waamuzi watishike na Statement zake.
.....
Hapo naamini ndipo TFF inapolalamikiwa wanamuacha anaongea
Ila akiongea wa upande wa pili the same statement inakuwa Hoja ya Vikao. Atulie tu asubiri Game kesho iishe Ndio aongee
HahahahaaaaaaHivi Mbona Haji Manara hatulii ? Naona kamaliza vyombo vyote vya Habari Anafanya pre match analysis.
.....
Anachokifanya Manara Kisheria kinaitwa PREJUDICE, Yaani anatengeneza Maamuzi kabla Mchezo ili waamuzi watishike na Statement zake.
.....
Hapo naamini ndipo TFF inapolalamikiwa wanamuacha anaongea
Ila akiongea wa upande wa pili the same statement inakuwa Hoja ya Vikao. Atulie tu asubiri Game kesho iishe Ndio aongee
Hata ww Umereply Reply Ya Hovyo TokaJf Iundwe [emoji4][emoji4][emoji4]Hahahahaaaaaa
Aisee wewe umetoa hoja ya hovyo tangu jf iundwe
Simba kufungwa hakutakuwa na shida aisee ila Yanga kufungwa moto utawaka pale jangwaniSimba Wana wasiwasi Sana. Wasiwasi unakuja kwakua wamejigamba kupita kiasi hofu inakwenda kuathiri wachezaji na bench la ufundi, Manara anafikiri anacheza mind game kumbe anaimaliza Simba. Baada ya Simba kufungwa kesho italeta shida kubwa ndani ya Klabu.
HahahahaaaaaaHata ww Umereply Reply Ya Hovyo TokaJf Iundwe [emoji4][emoji4][emoji4]
Kuropoka ropoka hovyo, na kujitwisha majukumu ya usemaji wa timu pinzani?cheo chake kinamruhusu
Mkuu, kumbe na wewe ni UTOPOLO?Kuropoka ropoka hovyo, na kujitwisha majukumu ya usemaji wa timu pinzani?
Kweli ww unathibitisha ile kauli ya yule kocha wenu. MKO KAMA NYANI. "Uneducated"Simba Wana wasiwasi Sana. Wasiwasi unakuja kwakua wamejigamba kupita kiasi hofu inakwenda kuathiri wachezaji na bench la ufundi, Manara anafikiri anacheza mind game kumbe anaimaliza Simba. Baada ya Simba kufungwa kesho italeta shida kubwa ndani ya Klabu.
Hawataki kuongea kwa sababu wataiongezea match hype wakati makato yote yanaenda Msimbazi ya hii match, acha kesho wana Msimbazi tukaujaze uwanja wa Mkapa.Mimi siamini kama Antonio Nugaz na Bumbuli hawakualikwa na hivyo vyombo vya habari kama alivyoalikwa Manara ILA kwa uoga na kutojiamini kwao ndio kumewafanya wasiende.
BTW hata kama hawakualikwa, kwa nafasi zao wangeenda wasingekataliwa. Natudia, wasemaji wa Yanga ktk mechi hii hawajiamini kabisa, wamewaachia washabiki wao wajipe moyo wenyewe.
Vv
Kwanini washabiki na wachezaji wengi was Yanga wanaHasira zilizopitiliza ?!Kuropoka ropoka hovyo, na kujitwisha majukumu ya usemaji wa timu pinzani?
Simba Wana wasiwasi Sana. Wasiwasi unakuja kwakua wamejigamba kupita kiasi hofu inakwenda kuathiri wachezaji na bench la ufundi, Manara anafikiri anacheza mind game kumbe anaimaliza Simba. Baada ya Simba kufungwa kesho italeta shida kubwa ndani ya Klabu.
Mimi ni mshabiki lia lia wa Yanga mkuu! Hiyo UTOPOLO siifahamu kwa kweli! 😇Mkuu, kumbe na wewe ni UTOPOLO?