Kwa nini transcripts hazitambuliki ofisi za serikali

vngenge

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
540
Reaction score
271
Inakuwaje kwenye ofisi za serikali academic transcripts hazikubaliki katika mpaka upate cheti original cha chuo wakati huohuo vyuo vyao vyeti huchelewa mno inaweza fika hadi miaka miwili na zaidi mfano T.I.A hawaoni wanaminya haki za watu! Mnasemaje waungwana?
 
Transcript zinakubalika isipokuwa wengi watataka uende na confirmation letter toka Chuo ulichosoma. Sababu ni kukwepa forgeries nyingi
 
transcript ndo zinatakiwa serikalini, wao huwa hawataki result slip hata kwenye matangazo yao mengi wanaandika result slip not allowed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…