Kwa nini Tume haikuundwa kuchunguza Matokeo ya Darasa la Saba 2012?

Cambri

Senior Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
160
Reaction score
37
Wakuu wote tiumeshuhudia moto wa matokeo ya Kidato cha Nne 2012 ambao umehitimishwa kwa kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha jambo ambalo sababu zake ziko wazi kabisa. Ikumbukwe kuwa matokeo ya Darasa la saba pia yalikuwa mabaya sana kiasi ambacho ilibidi Maafisa Elimu wakajichimbie tena kuchagua wanafunzi kwa lengo la kujaza madarasa. kwa nini Tume haikuundwa kuchunguza hayo matokeo hasa ukizingatia kuwa kama hakuna kiwango kizuri cha kufaulu wanapelekwa sekondari kujaza madarasa bila kujali vigezo na masharti, je hauoni kuwa kila mwaka tutakuwa na tume ya kuwachunguza hao wanaojaza madarasa wanapomaliza sekondari?

Tafakari, chukua hatua
 
Tanzania hatuwezi suluhisha matatizo yakitaifa kwa sababu tunaish kwa matukio iliyo ambukiza mpaka ktk maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…