Kwa nini tunabaguana sisi kwa sisi?

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
4,368
Reaction score
6,661
Ngoja tuangalie hawa wanafunzi X na Y waliokua wanasoma shule Z.

X, hakuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari 2002 baada ya kumaliza la saba 2001(alienda MAKOKO SEMINARY MUSOMA)
Y, alichaguliwa kujiunga na shule ya sekondary NYAKATO BUKOBA

MATOKEO BAADA YA WAO KUMALIMA FORM FOUR 2006
X, alipata division one point 16, Y alipata division three point 22

X,alipagwa kusoma EGM PUGU lakini alikataa kwenda bali alienda MAUA SEMINARY
Y, alipangiwa PCM MWENGE yeye akaenda

MATOKEO YA FORM SIX 2009
X, alipata division one point 7, Y alipata four division ya 18

JE, NANI NI KILAZA? JE MAZINGIRA YAWEZA KU MSABABISHIA MTU KUTOFANYA VIZURI? KUMBUKA X, HAKUWEZA KUFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA.

AU MTIHANI WA KIDATO CHA SITA NDO KIPIMO CHA AKILI?
NAOMBA MAJIBU KWA WALE WANAO BEZA VYUO KWA VIGEZO VYA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KWENDA VYUO FULANI. JE LEO TUNATAKA KULINGANISHA WANAFUNZI WA FEZA BOYS AU GIRLS NA WANAFUNZI WA KARATU SEKONDARI KWA UFAULU, NA KIJAJI UJINGA WAO AU UELEWA WAO?
 
Kwa maelezo yaliyotolewa hapo Y ni kilaza japo mazingira yanaweza kuchangia ufaulu mbovu lakin mwanafunz makini anatakiwa awe mbunifu na mwerevu katika kukwepa hivo vikwazo...4m6 pia inaweza kupima uwezo wa mwanafunz husika kwasabab ni levo ya mwisho zaidi ya lower education ambayo ina-summarise kilakitu kuanzia nursery-4m6
 
Bro kwanin msiipotezee hii topic (what doesnt kill u mek u stronger)
 
logic zako za ajabu...kwa mfumo tulonao aliyefeli ni kilaza tu haijalishi yupo mazingira gani huko nyakato au mwenge unataka kuniambia hamna wanaofaulu au huko fedha mbna watu wanapiga 4 alafu mtu wa ndanda au jitegemee wanapiga one mazingira doesnt matter mbna vijijini huko watu wanafaulu nenda UDOM huko wapo watu walikuwa wanafukwa na mafisi mida ya kurudi shule ila leo wapo UDOM wanachukua degree.
 
Nyie muda wote mnabishana kuhusu ubora wa elimu acheni hayo mambo jadirini vitu vya maana kaka zangu
 
Jamani tusiangalie umesoma wapi tuangalie una shilingi ngapi bank..mbona wangapi hawajasoma na wana mamilioni bank...cha msingi ni kuangalia utafanikiwaje katika life yako
 
Tanzania kama unajua unajua 2 kama kilaza we kilaza 2 hata ungesoma chuo gani?wala hamna jipya hapa bongo kelele za mi nasoma udsm wa teku et el hamna ki2 udom ya kata ni nothing 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…