kwa nini Tunaoa/kuolewa?

kapistrano

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,244
Reaction score
454
Wana JF swali langu ni dogo tu ambalo naitaji ufafanuzi kutoka kwenu maana huwa sina jibu kuhusu hili swali je ni kwa nini Tunaoa/kuolewa?
 
ili ile huduma muhimu iwe karibu zaidi...:A S-heart-2:
 
Ili kuifurahisha jamii inayokuzungka....ni utamaduni ambao upo ndani ya binadamu
 
Wewe umeoa kama ni Mwanaume au umeolewa kama ni mwanamke????????? jibu kwanza ndio tuendelee.
 
Wewe umeoa kama ni Mwanaume au umeolewa kama ni mwanamke????????? jibu kwanza ndio tuendelee.
Babuu rogger sijui haujanielewe swali lagu sioni haja yakutaka kujua yote hayo km unaufafanuzi wewe tililika huna basi kuwa mpole.
 
Wana JF swali langu ni dogo tu ambalo naitaji ufafanuzi kutoka kwenu maana huwa sina jibu kuhusu hili swali je ni kwa nini Tunaoa/kuolewa?

nilwahi kuuliza swali kama hili lakini post yangu ilipotea, sijui ilifutwa hata sijui tena ningekulink nayo ingekuwepo
 
Kama wewe ni mkristo nadhani utakua unajua Mungu aliumba mtu mume na mtu mke ili wawe wamoja...kifupi kibinadamu kuwa kitu kimoja ni pale ndoa inapofungwa.
Hivyo watu huoana ili kutimiza agizo la Mungu.
 
Ili kuifurahisha jamii inayokuzungka....ni utamaduni ambao upo ndani ya binadamu

Hapo kwenye blue hapo, kweli ndoa ZIMEPOTEZA MAANA KABISA!Yani mtu unaoa/olewa ili kuifurahisha jamii? Khaaaa!
 
Wana JF swali langu ni dogo tu ambalo naitaji ufafanuzi kutoka kwenu maana huwa sina jibu kuhusu hili swali je ni kwa nini Tunaoa/kuolewa?

Kila mtu anaoa kwa sababu zake. Hakuna sababu common 2all. Anza kujibu wewe kwanini ulioa/uliolewa jibu lako ni sahihi kwako si lazima liwe sawa na langu
 
Nature inatutaka! Fikiria dunia bila wanawake n vice versa ingekuwaje?!!
 
Tunatimiza maandiko ktk vitabu vitakatifu.:flypig:

Maandiko yanasema "kutokana na tamaa basi inabidi mtu awe na mke au mume 1" kesho ntakuletea Ref verse from the Holly Bible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…