Nampendea pesa na sita kwa sita basi
Kwasababu yuko alivyo!Tabia zake..muonekano wake na mengineyo!Pamoja na kuniboa now and then lakini bado anajua jinsi ya kurudisha furaha yangu!
nilipomwona kwa mara ya kwanza moyo ulipiga paaa! Lakini sikumkosa,,, nampendea nini? Da! Hilo sifahamu ila the whole package of her ilinifanya nimpende..... But unfortunately baadaye nilikula chambavu....
Ahaaaa ahaaaa ahaaa l.o.lMy dear tunapenda kwasababu tunapenda kupendwa. .
Hilo swali lingine ntakujibu baada ya miezi kadhaa..
Phewwww!!!!!!!!!!Nampendea pesa na sita kwa sita basi
akikuuliza huwa unamjibu nini?
Nampendea pesa na sita kwa sita basi
Wee Husninyo hebu acha kupiga chenga za mwili hapaMimi hata sijui na sijui kwanini sijui.
Nijenge hoja kuhusu nimpendae hapa JF ili iweje??Na nijipe moyo upi uliambiwa sina?hayo ndo huwa unamwambia, lakini ni kweli ndo unachompendea au unajipa moyo kujijengea hoja ili hata akikuuliza ujisikie wasema ukmweli?
Wee Husninyo hebu acha kupiga chenga za mwili hapa
Nijenge hoja kuhusu nimpendae hapa JF ili iweje??Na nijipe moyo upi uliambiwa sina?
ninachosema ni kujijengea hoja moyoni ili pindi unapoyasema hayo ujione unasema ukweli toka moyon lakin ukweli unabaki palepale