KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Watanzania tumefika maali tuwe na maamuzi magumu kwa maswala magumu hasa yanayohusu maslahi ya wananchi wa taifa hili, nasikia wenzetu zanzibar wanataka serikali yao kamili na wanahitaji muungano wa mkataba!sasa mimi rai yangu kwanini tusiwaache wazanzibar wakaendelea na maisha yao??na sisi tukanza maisha yetu??Maana tukae tukijua sisi tukikubali serikali ya mkataba ipo siku hawa jamaa watataka wavunje muungano kwa madai hawataki kuendelea na mkataba wa muungano hivyo nisisi kujipanga nakuona nikitugani cha kufanya!juu ya huu muungano!!
Ili baadae tusihaibike!
Ili baadae tusihaibike!