Kwa nini tusiwaambie Utopolo aka kinye fc kuwa Zalan walikuwa tu bora sana ila wao ni bora zaidi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ifike mahali tuache kuiponda timu ya Zalan eti kwa kufanya hawa utopolo wasifurahie ushindi wao wa goli Tisa.
Tukubali tu kuwa wamecheza na timu bora sana.

Hii ndiyo furaha yao ya mwisho tuwaache wafurahie. Maana wachambuzi wao pia wameshawaambia wao ni bora sana kwani Mayele aliwafunga pia Simba goli mbili.

Kwa vile Simba aliweza kuwafunga All ahly basi yanga atawafunga hat trick. Tuwaache tu na hizo hesabu ambazo wao wanaita facts au namba hazisemi uongo.

Mko vizuri utopolo mtabeba ubingwa wa Afrika maana sio kwa mipasi ile na ushindi ule dhidi ya mbabe wa Afrika watu weusi watu kazi.

Hongereni sana
 
Nyie makolo shida sana hii mechi tungetoka draw au kuwafunga holi 2 bado mngekuja hapa na kusema timu yetu ni mbovu kwa hiyo hatuwashangai sisi tumewapiga nyingi, ikitokea tumetolewa kwenye next game basi tutajipanga kwa mwaka ujao maisha yataenselea lakini historia tumeweka
 
Ifike mahali tuache kuiponda timu ya Zalan eti kwa kufanya hawa utopolo wasifurahie ushindi wao wa goli Tisa.
Tukubali tu kuwa wamecheza na timu bora sana.

Hii ndiyo furaha yao ya mwisho tuwaache wafurahie. Maana wachambuzi wao pia wameshawaambia wao ni bora sana kwani Mayele aliwafunga pia Simba goli mbili.

Kwa vile Simba aliweza kuwafunga All ahly basi yanga atawafunga hat trick. Tuwaache tu na hizo hesabu ambazo wao wanaita facts au namba hazisemi uongo.

Mko vizuri utopolo mtabeba ubingwa wa Afrika maana sio kwa mipasi ile na ushindi ule dhidi ya mbabe wa Afrika watu weusi watu kazi.

Hongereni sana
Makolo bwana uwa mnanifurahisha sana kwa kujipa stress zisizokuwa na maana, nyie katengenezeni timu yenu kwanza mkibaki kuangalia yanga ambayo kwasasa imewazidi kila kitu mtaendelea kupotelea kusikojulikana, iyo Aly ahly unayoitaja mliifunga miaka iyo ndo mkutane nayo sasa hivi na timu yenu iyo ya trip shamba trip gereji mtaifanya nini, mmebaki kuishi kwa historia amjui kila siku maisha yanabadilika ya leo sio ya jana, timu mliyokuwa nayo misimu 2 iliyopita siyo timu mliyonayo leo na yanga timu waliyokuwa nayo misimu 2 iliyopita siyo timu waliyonayo leo kwaiyo mkiendelea kukariri subilini mtachokipata
 
All Ahly ni team ya wapi hio? kama una zungumzia Al Ahly kasha chapwa hapo kwa Mkapa enzi hizo nyie mnagombania chapati za Kaduguda
 
Juzi tu hapo wamepapaswa na timu kutoka Djibouti kama Zalan ni wabovu waombe friend match
 
All Ahly ni team ya wapi hio? kama una zungumzia Al Ahly kasha chapwa hapo kwa Mkapa enzi hizo nyie mnagombania chapati za Kaduguda
Simu yangu haijasomea kiarabu so ujue tu vitu vingine ni vidogo vidogo ila mimi nawasifia ninyi utopolo mnacheza kama Manchester city ubingwa mtabeba tu timu zenyewe mnazipiga 9-0.
Hiyo ni kuonesha timu zinazoshiriki klabu bingwa ni za kawaida sana na Mayele ataendelea kupiga hat trick
 
Ifike mahali tuache kuiponda timu ya Zalan eti kwa kufanya hawa utopolo wasifurahie ushindi wao wa goli Tisa.
Tukubali tu kuwa wamecheza na timu bora sana.

Hii ndiyo furaha yao ya mwisho tuwaache wafurahie. Maana wachambuzi wao pia wameshawaambia wao ni bora sana kwani Mayele aliwafunga pia Simba goli mbili.

Kwa vile Simba aliweza kuwafunga All ahly basi yanga atawafunga hat trick. Tuwaache tu na hizo hesabu ambazo wao wanaita facts au namba hazisemi uongo.

Mko vizuri utopolo mtabeba ubingwa wa Afrika maana sio kwa mipasi ile na ushindi ule dhidi ya mbabe wa Afrika watu weusi watu kazi.

Hongereni sana
Kama umeona wameonewa leta timu yako.
 
Nanunua msimamo wa yanga akiongoza kundi caf
[emoji12]
20220918_111805.jpg
 
Back
Top Bottom