Ninafurahia sana kwani najua kuna mahali mnajidanganya na muda utasemaUnateseka ukiwa wapi, Kolo?
Makolo bwana uwa mnanifurahisha sana kwa kujipa stress zisizokuwa na maana, nyie katengenezeni timu yenu kwanza mkibaki kuangalia yanga ambayo kwasasa imewazidi kila kitu mtaendelea kupotelea kusikojulikana, iyo Aly ahly unayoitaja mliifunga miaka iyo ndo mkutane nayo sasa hivi na timu yenu iyo ya trip shamba trip gereji mtaifanya nini, mmebaki kuishi kwa historia amjui kila siku maisha yanabadilika ya leo sio ya jana, timu mliyokuwa nayo misimu 2 iliyopita siyo timu mliyonayo leo na yanga timu waliyokuwa nayo misimu 2 iliyopita siyo timu waliyonayo leo kwaiyo mkiendelea kukariri subilini mtachokipataIfike mahali tuache kuiponda timu ya Zalan eti kwa kufanya hawa utopolo wasifurahie ushindi wao wa goli Tisa.
Tukubali tu kuwa wamecheza na timu bora sana.
Hii ndiyo furaha yao ya mwisho tuwaache wafurahie. Maana wachambuzi wao pia wameshawaambia wao ni bora sana kwani Mayele aliwafunga pia Simba goli mbili.
Kwa vile Simba aliweza kuwafunga All ahly basi yanga atawafunga hat trick. Tuwaache tu na hizo hesabu ambazo wao wanaita facts au namba hazisemi uongo.
Mko vizuri utopolo mtabeba ubingwa wa Afrika maana sio kwa mipasi ile na ushindi ule dhidi ya mbabe wa Afrika watu weusi watu kazi.
Hongereni sana
All Ahly ni team ya wapi hio? kama una zungumzia Al Ahly kasha chapwa hapo kwa Mkapa enzi hizo nyie mnagombania chapati za KadugudaIfike mahali tuache kuiponda timu ya Zalan eti kwa kufanya hawa utopolo wasifurahie ushindi wao wa goli Tisa.
Tukubali tu kuwa wamecheza na timu bora sana.
Hii ndiyo furaha yao ya mwisho tuwaache wafurahie. Maana wachambuzi wao pia wameshawaambia wao ni bora sana kwani Mayele aliwafunga pia Simba goli mbili.
Kwa vile Simba aliweza kuwafunga All ahly basi yanga atawafunga hat trick. Tuwaache tu na hizo hesabu ambazo wao wanaita facts au namba hazisemi uongo.
Mko vizuri utopolo mtabeba ubingwa wa Afrika maana sio kwa mipasi ile na ushindi ule dhidi ya mbabe wa Afrika watu weusi watu kazi.
Hongereni sana
Juzi tu hapo wamepapaswa na timu kutoka Djibouti kama Zalan ni wabovu waombe friend matchMakolo bwana uwa mnanifurahisha sana kwa kujipa stress zisizokuwa na maana, nyie katengenezeni timu yenu kwanza mkibaki kuangalia yanga ambayo kwasasa imewazidi kila kitu mtaendelea kupotelea kusikojulikana, iyo Aly ahly unayoitaja mliifunga miaka iyo ndo mkutane nayo sasa hivi na timu yenu iyo ya trip shamba trip gereji mtaifanya nini, mmebaki kuishi kwa historia amjui kila siku maisha yanabadilika ya leo sio ya jana, timu mliyokuwa nayo misimu 2 iliyopita siyo timu mliyonayo leo na yanga timu waliyokuwa nayo misimu 2 iliyopita siyo timu waliyonayo leo kwaiyo mkiendelea kukariri subilini mtachokipata
Yakumbushe Makolo hayo.All Ahly ni team ya wapi hio? kama una zungumzia Al Ahly kasha chapwa hapo kwa Mkapa enzi hizo nyie mnagombania chapati za Kaduguda
Simu yangu haijasomea kiarabu so ujue tu vitu vingine ni vidogo vidogo ila mimi nawasifia ninyi utopolo mnacheza kama Manchester city ubingwa mtabeba tu timu zenyewe mnazipiga 9-0.All Ahly ni team ya wapi hio? kama una zungumzia Al Ahly kasha chapwa hapo kwa Mkapa enzi hizo nyie mnagombania chapati za Kaduguda
makolo mlipokula 1 kule kirumba na 2 hapa lupaso mlikua kiwango sawa na sifa united ya kwa mtogole?Friend rangers ni Bora kuliko zalan. Timu za maana wataizika uto kipindi cha Kwanza.
Kama umeona wameonewa leta timu yako.Ifike mahali tuache kuiponda timu ya Zalan eti kwa kufanya hawa utopolo wasifurahie ushindi wao wa goli Tisa.
Tukubali tu kuwa wamecheza na timu bora sana.
Hii ndiyo furaha yao ya mwisho tuwaache wafurahie. Maana wachambuzi wao pia wameshawaambia wao ni bora sana kwani Mayele aliwafunga pia Simba goli mbili.
Kwa vile Simba aliweza kuwafunga All ahly basi yanga atawafunga hat trick. Tuwaache tu na hizo hesabu ambazo wao wanaita facts au namba hazisemi uongo.
Mko vizuri utopolo mtabeba ubingwa wa Afrika maana sio kwa mipasi ile na ushindi ule dhidi ya mbabe wa Afrika watu weusi watu kazi.
Hongereni sana
[emoji12]Nanunua msimamo wa yanga akiongoza kundi caf