Kwa nini uazishe kituo cha online radio

Kwa nini uazishe kituo cha online radio

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
850
Reaction score
772
kwa sasa online radio inasikizwa zaidi kuliko vituo vya fm,hii inatoa fursa kubwa hasa kwa vijana kufikia maono yao ya kumiliki media.

kwaanza kabsa unafichua mitazamo ambayo radio kubwa azifuatilii au awatoi kipaumbele mfano nyimbo, makala na habari kwa undani

pili ni kutangaza utamaduni wako ambao unapenda kwa radio mfano kabla lako tamaduni yako ambapo utatoa fursa ya kuelezea kwa kituo chako cha online

Endesha Mabadiliko ya Kijamii - Tumia online radio yako kufahamisha, kuelimisha, na kuhamasisha watu kuhusu masuala muhimu.

Jenga Muunganisho wa Jumuiya - Unda nafasi ambapo watu watakusanyika, iwe ni kupitia muziki, vipindi vya mazungumzo au habari za karibu nawe.

Jinsi ya Kuanza
Kuzindua kituo cha redio ya jamii ni rahisi kuliko unavyofikiri. unaweza kuanzisha kituo cha mtandaoni kwa dakika chache—hakuna vifaa vya gharama kubwa au utaalam wa kiufundi unaohitajika.

Tangaza moja kwa moja au ratibu vipindi viendeshwe kiotomatiki.

Fikia wasikilizaji duniani kote,kupitia app, website na sasa hivi kupitia speaker maalumu kama amazon na Alexa nk

tangaza kituo chako ukiweka jingle za radio yako, na upangaji wa vipindi.

Pokea mapato kwa kituo chako kupitia ufadhili wa vipindi, matangazo au michango ya wasikilizaji sasa kwenye iki kipengele ambacho kitakufanya upate mapato

mi binafsi nimezisha kituo cha radio kinaitwa Tzgospel Radio nimekianzisha mwaka 2021 na sasa hivi ni moja kati ya vituo 10 vinavo zikilizwa zaidi

kama unahitaji kuanzia kituo chako cha radio basi naweka namba apo chini utanipigia au kama unataka ufafanuzi zaidi
 
Tuache utani mkuu, mimi Pia nipo kwenye hi tasnia. kwa tafiti kabisa zilizofanyika online Radio inasikilizwa na watu wachache sana, tena wengi wanasikiliza wakati wa habari za kimataifa kama DW,BBC,VOA N.k FM radio zina wasikilizaj wengi san alicha ya kuongezeka kw amatumizi ya Teknoloja. hi ni kwa tanzana lakini
 
Utafiti wa Geopoll (2018): Redio za FM zinaongoza kwa wingi wa wasikilizaji nchini Tanzania. Vituo maarufu kama Clouds FM, EFM, na Wasafi FM vinapata idadi kubwa ya wapenzi,Wasikilizaji: Wasikilizaji wa redio za FM ni wengi, hasa kwa wale walioko mijini na vijijini. Kiwango cha wasikilizaji ni zaidi ya 70% nchini Tanzania. Utafiti wa Kisasa unaonyesha kwamba 15%-30% ya wasikilizaji sasa wanapendelea redio mtandaoni.
 
Unapataje faida (mapato) kuendesha au kukuza kituo chako. Mapato wakati unaanza yapikuwa kias gan na sasa umefika kiasi gani. Nadhan hizo ndio dondoo za kutuonesha uhalisia
 
Kwa mwaka jana pekee 2023 kwa mujibu wa website RAJAR RADIO inaonyesha usikilizaji wa online radio kwa Uingereza umekuwa kasi na kupita AM NA FM yani asilimia 27.8%ni wasikilizaji wa online na 27%kwa AM/FM

Usikilizaji wa redio mtandaoni unajumuisha kusikiliza kwenye tovuti(11.2%) na apps za kusikiliza radio (16.6%).

Sehemu ya wasikilizaji wa redio ya mtandaoni inaongezeka. Wakati hisa za AM/FM zinapungua. Wakati huumwaka jana, matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

Huu uzi niliandika hapa mwaka jana nilielezea kwa kirefu zaidi
 
Kwa hapa nyumbani Takwimu zikoje? maanaMimi nimesema kwa tanzania
 
Utafiti wa Geopoll (2018): Redio za FM zinaongoza kwa wingi wa wasikilizaji nchini Tanzania. Vituo maarufu kama Clouds FM, EFM, na Wasafi FM vinapata idadi kubwa ya wapenzi,Wasikilizaji: Wasikilizaji wa redio za FM ni wengi, hasa kwa wale walioko mijini na vijijini. Kiwango cha wasikilizaji ni zaidi ya 70% nchini Tanzania. Utafiti wa Kisasa unaonyesha kwamba 15%-30% ya wasikilizaji sasa wanapendelea redio mtandaoni.
Izo ni taarifa za 2018 sasa hivi sasa kwa radio yangu tu napata wasikilizaji hadi milion 1 kwa mwezi wasikilizaji hadi 200 kwa wakati mmoja naongea kitu ninacho sijawahi kuombwa kutoa izi taarifa ili wafanya utafiti ni lazima mtoa taarifa apate taarifa za wasikilizaji kwa kila kituo
 
Kwa mwaka jana pekee 2023 kwa mujibu wa website RAJAR RADIO inaonyesha usikilizaji wa online radio kwa Uingereza umekuwa kasi na kupita AM NA FM yani asilimia 27.8%ni wasikilizaji wa online na 27%kwa AM/FM

Usikilizaji wa redio mtandaoni unajumuisha kusikiliza kwenye tovuti(11.2%) na apps za kusikiliza radio (16.6%).

Sehemu ya wasikilizaji wa redio ya mtandaoni inaongezeka. Wakati hisa za AM/FM zinapungua. Wakati huumwaka jana, matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

matokeo ya RAJAR yalionyesha kuwa usikilizaji wa redio mtandaoni ulikuwa na hisa 24.4% na AM/FM Radio ilikuwa na hisa 32.4%.

Huu uzi niliandika hapa mwaka jana nilielezea kwa kirefu zaidi
Huko ni Uingereza na kuna utofauti mkubwa na hapa nchini.
 
Unapataje faida (mapato) kuendesha au kukuza kituo chako. Mapato wakati unaanza yapikuwa kias gan na sasa umefika kiasi gani. Nadhan hizo ndio dondoo za kutuonesha uhalisia
Nitaelezea kwenye uzi ujao kwa kina zaidi
 
Swala la muda tu ata mwaka haishi huduma ya fiber hadi vijijini kwa iyo sio jambo la muda mrefu
Huko ni Uingereza na kuna utofauti mkubwa na hapa nchini.
 
Izo ni taarifa za 2018 sasa hivi sasa kwa radio yangu tu napata wasikilizaji hadi milion 1 kwa mwezi wasikilizaji hadi 200 kwa wakati mmoja naongea kitu ninacho sijawahi kuombwa kutoa izi taarifa ili wafanya utafiti ni lazima mtoa taarifa apate taarifa za wasikilizaji kwa kila kituo
Tafiti pia za Hivi karibuni zinasapoti Hivyo. Kupata wasikilizaji milioni moja kwa mwezi Kwa Hapa nyumbani Mmh, labda tupate ushahidi.
 
Hii ni app moja ambayo imetoa taarifa kwa kituo changu kwa mwaka 2024 je app kama radiobox,radio garden, mytuner na tunein wakitoa taarifa ya wasikilizaji kwa itakuaje ?
Screenshot_20241226-192323.png
 
Back
Top Bottom