Kwa nini udom?

chikaputula

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
28
Reaction score
3
Wakuu,me naomba kufahamu kuwa kwa nini chuo kikuu cha dodoma mara nyingi kinakumbwa na kashfa za uduni wa taaluma na masuala ya ngono?
 
Weka basi nyama kidogo kwenye bandiko lako ili watu wachangie vizuri mkuu, mfano unaposema uduni wa taaluma katika fani ipi ??!!!
 
Wanao kinanga chuo kikuu cha Dodoma kwa ubora wa elimu ni waongo. Udom kiko juu kitaaluma kwa kweli hata wanafunzi wanao hitimu udom wanafanya vyema makazini hasa education, na uchumi na uhasibu. Tatizo la udom ni utawala wake wa hovyo kuliko hovyo. Si idara, wala top management pote hovyo tu. Kama serikali ikibadili uongozi wa juu yaani Dvcs kinaweza kubadilika labda. Japo pia kinatumika kisiasa siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…