Jamani tokea nimezaliwa hadi leo nimekuwa mkubwa .....nimekuwa nikisikia udsm kila mwaka lazima kuwepo na
migomo na maandamano........lakini vyuo kama ifm,ustawi,cbe,muccobs,mzumbe na vinginevyo.......sijawahi hata siku moja toka nizaliwe kwamba kuna maandamano wala kusikia kuna migomo.......hebu naombeni mtusaidie why udsm every year migomo na maandamano