Kwa nini UDSM ?

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Huku JF hasa "Jukwa La Elimu" ukisoma mada nyingi ni za kukejeli chuo cha UDSM, ningependa kujua ni vigezo gani mnatumia wakati chuo chetu kimeshika nafasi ya 6 kwa ubora hapa Africa?
 
"Huku JF hasa "Jukwa La Elimu" ukisoma mada nyingi ni za kukejeli chuo cha UDSM, ningependa kujua ni vigezo gani mnatumia wakati chuo chetu kimeshika nafasi ya 6 kwa ubora hapa Africa?"
hapo kwenye red ndio swali la msingi lakini kwenye kijani hakuna mashiko, kwani chuo kua cha sita ndio kutakufanya utoke na first class?
 
Huku JF hasa "Jukwa La Elimu" ukisoma mada nyingi ni za kukejeli chuo cha UDSM, ningependa kujua ni vigezo gani mnatumia wakati chuo chetu kimeshika nafasi ya 6 kwa ubora hapa Africa?

Nafasi ya sita kwa mujibu wa nani?

Na ubora wa UDSM uko kwenye nini?
 

Ningependa kupata majibu zaidi kwa sababu naona wengi wanafananisha UDSM na Mzumbe?
 
Udsm kimetoa watui ambao wamelisababishia hili taifa tatizo kubwa sana hawa wala rushwa mafisadi,wazembe makazini ni product za udsm mtu anashinda mliman city halafu ana maliza na g.p.a ya 3.8 kweli? Hizo rank may be ni za vyuo zinavyosababisha bara la africa liendee kuwa maskini kutokana na product zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…